Mkuu squirt?!nafikiri hicho ni kitu kingine tofauti na alichosema mtoa mada..ila najua ni shida ya hivi vitufe vya kuandikia.Push up ni za ziada huwa kila asubuhi napiga 25,usiku 25 jumla 40 squirt huwa ni 50 kuchangamsha.
Nipo timamu akili na mwili nisipopiga huwa sijisikii vizuri kabisa.
Squirt ni katusi hako kakaPush up ni za ziada huwa kila asubuhi napiga 25,usiku 25 jumla 40 squirt huwa ni 50 kuchangamsha.
Nipo timamu akili na mwili nisipopiga huwa sijisikii vizuri kabisa.
Duuh!!Hongereni sana wadau wa mazoezi.
Sisi, footballers tunamalizia uwanjani tu.
Kujipigisha mwenyewe ndio aje Mkuu?Push up nzuri ujipigishe mwenyewe..
Najua nishakosea sasa hamna namna nikipata mda editing itahusikaSquirt ni katusi hako kaka
Ushawahi kupitia mafunzo ya kijeshi/?Kujipigisha mwenyewe ndio aje Mkuu?
Pamoja sana Wangnajua nishakosea sasa hamna namna nikipata mda editing itahusika
Huko ndo zinapigwaga hizo?Ushawahi kupitia mafunzo ya kijeshi/?
Hahahah shadee una haraka kama cha kwqnza..Huko ndo zinapigwaga hizo?
We nieleweshe bana sababu na mie pia ni mfanyaji mazoezi mzuri tu japo Push - ups kwangu huwa ni changamoto yaani siziwezi kabisaa labda nikite mikono na miguu chini ila si kupanda na kushuka sana sana nikishuka naeza shusha kiuno lakini mgongo na kichwa vikawa juu basi na si kushuka na kupandisha mwili mzima πππHahahah shadee una haraka kama cha kwqnza..
Anza kidogo kidogo, mie nilikuwa sizidishi push-ups tatu...nikaendelea bila kukata tamaa sasa naendelea vizuri na napiga nyingi tuWe nieleweshe bana sababu na mie pia ni mfanyaji mazoezi mzuri tu japo Push - ups kwangu huwa ni changamoto yaani siziwezi kabisaa labda nikite mikono na miguu chini ila si kupanda na kushuka sana sana nikishuka naeza shusha kiuno lakini mgongo na kichwa vikawa juu basi na si kushuka na kupandisha mwili mzima πππ