Wapenzi wa push-ups & squats

ukisema set tofauti tofauti unamaanisha katika hizo set Kuna nyingine utaenda 100, nyingine 50, nyingine 70 hadi zitimie 5000 si ndio!?
 
ukisema set tofauti tofauti unamaanisha katika hizo set Kuna nyingine utaenda 100, nyingine 50, nyingine 70 hadi zitimie 5000 si ndio!?
Huu hapa mfano halisi

One arm push ups (push ups za mkono mmoja). Hapa utapiga 50 mkono wa kulia, then 50 mkono wa kushoto.

Military push ups, hizi unaweza enda 150 one round

Archer push ups, pia hizi unaweza enda 100 one round

Wide hand push ups, hizi unaweza fika hata 150 one round

Hindu push ups hizi unapiga 100 one round

Diamond push ups hizi zinategemea unaweza enda 50 once ukatulia kisha ukamalizia 50 au kama mzoefu una unganisha zote 100 one round

Hapo nimeweka aina chache tu za push ups, ukiweka aina zote 14 za push ups au zaidi mzunguko mmoja ukimaliza unaweza ona utakuwa umepiga push ups ngapi.

Pia wakati unapiga hizo push ups unachanganya kidogo na mazoezi ya viungo ule muda ambao unapumzika kurudia round nyingingine au aina nyingine ya push up.

Ukizoea inakuwa tabia.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁!
 

unapumzika mda gani baada yakupiga round moja?
 
unapumzika mda gani baada yakupiga round moja?
Baada ya round moja nyoosha viungo kwa kufanya simple stretching za mikono, mbavu na miguu kisha unaendelea na round nyingine. Specific time huwa inategemea muda wa stretching ila mara nyingi siyo zaidi ya dakika 5 kisha unaingia round nyingine.

Lengo la stretching ni kulegeza kidogo muscles maana zinakakamaa hivyo ukipumzika tu bila kuziweka sawa kwanza unaweza sababisha madhara mengine kwa mikono na baadhi ya maeneo.

Pia usisahau ku balance sehemu za chini yaani kuanzia kiunoni kwenda chini, wakati unaenda hizo push ups ongezea squats kadhaa wakati ukisubiri round nyingine pia.
 
Kwa wiki hii Nimefanikiwa kupiga squats 300 nikiwa nimebeba chuma, na crunches 600, push ups 150, nimetembea jumla ya dk 360 kwa wikii....nimetembea dk 120 kwa siku 3
 
Hapa unakuwa commando kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipepiga push ups 50, leg raises 50, bicycle crunches 100, abnormal crunches 100, cross over crunches 100, V shape crunches 100 na kuruka kamba mara 2500, mwili upo poa!
 
Zoezi langu leo- push ups 100, aquarts 300, jump jacks 1000,crunches 600
 
Mkuu kwa sasa unapiga ngapi?
 
Mkuu ndg yako kasema yeye anatumia dakika 50-55 kupiga push-ups 10,000
.
.
Hii ina maana ya kuwa
10,000/50= 200
200/60= 3.333
*( yaani anatumia dk 1 kupiga push- ups 200
Hiyo ni sawa na push-ups 3.333 kwa sekunde moja)*
.
Je, uhalisia wake uko wapi hapa hususani katika suala la push-ups/muda?
.
Je, wewe unaweza kupiga push-ups 3 ndani ya sekunde 1?

Hebu tupe majibu ya hayo maswali mawili kwanza
NB: Hapo hatujaweka muda wa kupumzika baada ya raundi moja kwenda nyingine

Beginner, intermediate, advanced
 
Mkuu suala la muda hapo siwezi lizungumzia, binafsi nimeweka maelezo ya muda katika moja ya comment yangu hapo juu. 3 push ups kwa 1 second haiwezekani, labda uwe unacheza na siyo kupiga push up
 
Mkuu kwa sasa unapiga ngapi?
Kwasasa mkuu sina idadi constant, ila inategemea na siku. Sometimes 1000 na pia baadhi ya siku 1500 au chini ya hapo.

Kipindi hicho tulikuwa tunalelewa hivyo shule na mazoezi ndiyo ilikuwa kazi. Masuala ya nitalipaje kodi na familia itaishi vipi hayakuwepo na majukumu mengine kimaisha hayakuwepo.

Ila mazoezi bado napiga japo kiwango kimeshuka.
 
Push ups 10,000 sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli Bongo bahati mbaya
 
Ebu fafanua vizuri, huu ni mfano au umeelezea kile ambacho wewe unakifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…