Love is blind, sijaiangalia thoughWale wenzangu ambao kila upatapo muda unakimbilia section ya reality TV shows pita hapa.
TV shows zangu mara nyingi naangalizia Netflix, DSTV[app] na Showmax.
My favorite so far:
1. Young, famous & African -hii tupo season ya tatu sasa.
2. Temptation island
3. Too hot to handle
4. Forever maybe
5. Makoti - are you the one?
6. Pastor wants a wife!
7. Love Island
Nimeangalia ya Marekani na Sweden....ni nzuri saana.Love is blind, sijaiangalia though
Kuna mtu kanisifia plus hio too hot to handle. Nataka nizicheki nishaweka kwenye list
Kama unataka kuanza biashara hii ni moja ya show nzuri ya kutazama. Sikujua ipo DSTV...Jaribu kucheki hii Undercover Billionaire
kama mpenzi wa biashara na uwekezaji, ipo You tube pia inaonyeshwa DSTV
https://youtube.com/playlist?list=PLWdJp7tAwMwSKQ_NblVXnpVfFZUo40ocI&si=KWGE0S6eFxxpm7aJ
Yoh chill out sir, we don't pop up around here.I'm too busy watching the biggest reality show in my own life.
My own life.
Dah reality show za mapenzi hapana aisee, mahusiano yenyewe nisha yapa kisogo.Mimi kidogo napenda mapenzi....ninapokaa na kutazama napumzika....siwezi kuchoka kisha tena nikajichosha.
I am at absolute zero right now.Yoh chill out sir, we don't pop up around here.
Kuna jamaa namuona youtube anatoa utofauti wa maisha ya marekani na nchi zingine... marekani kukimbizana kweli kweli.... hata hizo leave days ni za kuokoteza.Yoh chill out sir, we don't pop up around here.
namtania na yeye ana jua hilo.Kuna jamaa namuona youtube anatoa utofauti wa maisha ya marekani na nchi zingine... marekani kukimbizana kweli kweli.... hata hizo leave days ni za kuokoteza.
Watu wakikuambia hawana muda usishangae.
Hii haihusiani na Kiranga kutokupata muda.
Suala si muda.Kuna jamaa namuona youtube anatoa utofauti wa maisha ya marekani na nchi zingine... marekani kukimbizana kweli kweli.... hata hizo leave days ni za kuokoteza.
Watu wakikuambia hawana muda usishangae.
Hii haihusiani na Kiranga kutokupata muda.
Tuombe Mungu comrade asione hii comment kaka 😁😁Dah reality show za mapenzi hapana aisee, mahusiano yenyewe nisha yapa kisogo.
I somehow agree with you that many reality shows are far from the so called real. Most are heavily scripted and staged to boost drama and keep us hooked.Suala si muda.
I watch movies ningekuwa sina muda nisingeangakia movies.
Reality TV just bores me.
I think I feel that the notion that a scripted show is trying to front as reality TV insults my intelligence.
Afadhali movies najua kabisa this is fiction.