Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,171 Reaction score 34,394 Oct 26, 2018 #21 Noor fm (kwa wale wa tanga) yan hata nitune station ingine roho yangu hainaamani had nitarud noor Napenda kipindi cha kuchimba na kuibua, na vipindi vya mwez wa ramadhan vile maswali na majibu.
Noor fm (kwa wale wa tanga) yan hata nitune station ingine roho yangu hainaamani had nitarud noor Napenda kipindi cha kuchimba na kuibua, na vipindi vya mwez wa ramadhan vile maswali na majibu.