mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Sasa hivi inaitwa 24 Live another day! Kama mnakumbuka mwisho wa season ya 8, alikimbia marekani kukwepa mashtaka, na akakimbilia Uingereza. Sasa inaendelea huku akitafutwa na serikali za marekani na urusi (baada ya kumuua diplomat wao). Episodes zimeshaachiwa tangu tar 2 mwezi huu