Wapenzi wa series ya 24 hours, imerudi tena!

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
Sasa hivi inaitwa 24 Live another day! Kama mnakumbuka mwisho wa season ya 8, alikimbia marekani kukwepa mashtaka, na akakimbilia Uingereza. Sasa inaendelea huku akitafutwa na serikali za marekani na urusi (baada ya kumuua diplomat wao). Episodes zimeshaachiwa tangu tar 2 mwezi huu
 
hivi kuna uhusiano gani na season finale?

Kwa uelewa wangu season finale inamaanisha ni mwisho wa hiyo season tajwa,,,na si mwisho wa series yenyewe, namaana hakuna episode nyingine itakayotoka tena kuunda hiyo season
 
Kwa wale waliokuwa wanafuatilia tamthilia ya 24 (Jack Bauer) ile season 9 iliyokuwa inasubiriwa tayari imetoka na sasa imefikia episode ya 5. Unaweza kuidownload na kuendelea kuburudika.

Unaweza kuipakuwa hapa kama una idm www.videobull.com
 
kama una link naomba unitumie.....naipenda sana......nimejaribu imegoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…