Mimi ni shabiki wa Simba na ninawapenda wachezaji wanaojituma na kuipambania klabu.
Hata hivyo ninasikitishwa na upuuzi ninaouona mitandaoni eti sisi wana Simba tunaombwa tusimng'ang'anie Kibu.
Mi nauliza,ni wanaSimba gani wanaolazimisha Kibu abaki kama sio viongozi wetu wachache wapumbavu tu ambao nao hatuwataki?
Viongozi hao wapo kwa nguvu ya serikali na gsm!Kifupi yanga alitumia mbinu za kimafia kuwekeza Simba kwa siri sana na kwa wazi wazi kwenye timu nyingine kama Ihefu,Singida,Dodoma n.k.
Hawa yanga ni wanasiasa na kwa sasa wanaongoza mijadala ya kipumbavu ili waendelee kujenga msingi mbovu pale Simba.
Hawa hawa yanga hata pale Azam wameweka pandikizi na ndilo linatumika kuitesa Azam.
Huu mpira wa Tanzania kwa sasa wameingia maguru wa siasa za ccm wakizitumia kutakatisha pesa naichezo ya kamari.
Ninashangaa sana eti Kibu anagombaniwa! Hii ni ajabu mno!Ningekuwa na uwezo,ningeuza mchezaji yeyote kwenda mahali popote anapotaka kwenda,au hata kama anataka kwenda bure na aende.
Kulazimisha mchezaji acheze bila passion ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Mchezaji ni kama mwanamke,akikukataa hata ukitoa pesa kiasi gani,hawezi kuwa na mapenzi tena.
Viongozi tumieni akili zenu,kama mchezaji amekataa kusaini,tafsiri yake ameikataa timu,kama Kuna ofa nzuri zaidi kwake,aachwe aende.Kwani lazima mkubali ninyi viongozi wetu hamna akili na mmezidiwa sana na hata vitimu vidogo vya Zanzibar.
Hata mfanyeje kumbakiza mchezaji,mjue kuwa unaweza kuwa ni mpango wa yanga mtumie pesa nyingi kusajili watu wa kawaida.Ni kama mlivyoingizwa kingi eti namba sita.Kubalini akili hamna.Kwa hiyo mkiona mmetoa ofa imekataliwa,tafuteni mnyonge wenu na ninyi mtoe ofa.
Simba ni club kubwa ila imepata viongozi wapumbavu kuwahi kutokea