Wapenzi Wa Soka

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Wapenzi wa Soka mliopo nyumbani na wenye visimbuzi vya Azam Tv unaweza ukaweka MUTV Channel 404 ukajionea mechi ya kumbukumbu ya miaka 20 tangu Manchester United walipotwaa TREBLE!! Kuna wachezaji bado wana uwezo mkubwa sana!!
 
Nasubili zile dakika 2 za mwishoni tulizofanya maajabu yetu! Hivi Samuel kufoul yupo wapi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…