Wapenzi wengi wa Bob Marley wanavuta bangi?

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
7,375
Reaction score
6,958
Jamani ni udadisi tu wa hapa na napale, nikagundua kwamba ukiona mtu yeyote;
Mkeo, mchumba wako, rafiki yako, baba yako, mama yako, mwanao,mjomba yako rafiki yako n.k anamzimikia sana bob, sana yaani ile mbaya....kila wakati yeye bob bwana, bob......
Ujue huyo anavuta bangi au aliwahi kuvuta bangi.....
Mnasemaje kuhusu hili?
 
Si dharau mkuu nika-udadisitu ka hapa na pale....!
 
Na wale wanaokunywa pombe je! Hawa wanamzimikia nani?
 

Ungeenda new msasani beach club siku ya kumuenzi bob marley ungepata jibu maana anga lote lilikuwa harufu ya bange kana kwamba hakuna serikali
 
great thinkers wengi wanapenda nyimbo za Bob lakini hawavuti majani.
 
Hata wakikataa, ukweli ndio huo ;wengi wao kama sio wote wanavuta ganja!!
 
Bangi ni hobby ya mtu, Nyimbo za Bob ni nyimbo zinazoeleza khs equal rights n justice..so km na wewe unapenda hak na usawa automatcally utakuwa mshabki wa Bob without to care whch'z ur hobby
 

Si kweli.Utafiti wako haujakamilika.Mbona Mi nina mzimikia toka nikiwa chekechea lakini sipendi kusikia hata harufu ya hiyo bangi acha kuigusa au kuivuta
 
DAH!!jamaaa isiaa zako za ki babylone kabisaaa...yani we huna tofautii na enzi za ukoloni wa mreno,nanii ka kwambia kupenda nyimbo za BOB ni lazimaa ulee kayaa,kuna wengine wanasikiliza kwaya ilaa walaa kayaa mbayaa.rudia utafitiii
 
Mzizi itabidi utuombe radhi.....
 
kwahiyo unamaanisha hata mashabiki wa 20% nao wanakula bangi kisa yy anatumia!! rekebisha kauli kabla hatuja ku ban
 
"Emancipate yourself from mental slavery,none but ourselves can free our minds.''
 
Pole sana. Endelea kutafiti kuhusu Bob Marley, nyimbo zake then utapata ufahamu mkubwa zaidi. Je alipo alikwa kwenye sherehe za uhuru wa Zimbabwe, alialikwa na wavuta banghi ama wanamapinduzi?
 
Mzizi itabidi utuombe radhi.....

...nimevuta bange..imenibangua..imenituma nikuambie Preta umalizie vua hiyo chupi...nikuchungulie... ha ha hahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…