kwanza unaweza kufafanua hiyo MY TAKE yako please??
Back to the point:
Kiwanga alikwenda LHRC hapo dar kuchukua nafasi ya Kijo bisimba wakati huyo mama akienda kufanya PHD nje ya nchi. kabla ya hapo kiwanga alikuwa LHRC kituo cha Arusha. Mwaja Jana kijo bisimba kamaliza PHD yake na kurejea kazini. So Kiwanga naye karudi kwenye kituo chake cha kazi cha zamani Arusha.
Swali la nyongeza???