wapi anaweza kupata MIN DIV DECK?

leseiyo

Senior Member
Joined
Oct 25, 2007
Posts
116
Reaction score
3
tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kupata min Div deck .ni duka gani ambalo ninaweza kupata Min Div Deck kwa hapa dar es salaam
 
Topshop Uhuru Street Kariakoo (Karibu kabisa na Mnazi Mmoja)
 
Nilikuwa sijui kuhusu Top Shop kama wana deck ya mini div nitaenda kuangalia.Mini Div Deck ya uhakika, nenda Sony mtaa wa Samora mtaa wa ZanaKI unapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…