Kama bado hujafanikiwa kesho tembelea Makao Mapya, juu kidogo ya stand ya vofodi upande wa pili (kushoto kama unapandisha Seliani ila usifike ofisi za mabasi pale) kule ndani maduka ya spare za magari kuna ofisi jamaa ana deal na funguo za vyombo moto.
Uende na Loss report ya hiyo funguo ya kwanza.Isije ikawa bajaji siyo ya kwako unataka kuipiga.Ili baadaye bajaji ikipotea tujue tunaanzia wapi upelelezi