MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,363
Vazi hili naona limeanza kuwa maarufu hapa Tanzania kwa wanawake wa rika zote naliona katika misiba mbalimbali, katika sherehe mbalimbali, n.k na wengine wanalipa heshima na wengine wanalivunjia heshima.
Hasa wale wanaochomeka dera ndani ya nguo za ndani na kutembea maeneo ya public na hasa kwa wale waliojaaliwa nyama za nyuma na kuwaletea hisia mbaya wanaume lakini na wao kujivunjia heshima kwa jamii ingawa najua wapo baadhi wanapenda kuona mambo kama hayo yakipita mbele ya macho yao kwani ndo faraja ndani ya roho.
Sasa naomba kuuliza utaratibu wa vazi hili kwa akina mama na dada zetu ambao naona vazi hili kwao limekuwa ndo kama kimbilio kubwa kwao hasa inapotokea issue ya kushona sare ya haraka haraka katika matukio ya furaha au huzuni.