kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mwishoni mwa mwaka 2012 mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi hapa Tz maarufu kama Banza Stone alisikika katika kipindi maarufu kinachorushwa na mtangazaji makini Millard Ayo kupitia clouds fm kwamba anaona kifo kitamchukua si muda mrefu!ingawa alikiri kuwa huenda ni kwa sababu ya ugumu wa maisha!Je yuko wapi na ana hali gani?mwenye taarifa zake tafadhali.