Karibu nyumbani kwangu Tandika Maguruwe!.wana JF,
Natamani na mimi nikaache ka TV kangu (size yake nakajua) ila ningetaka sehemu ambapo WC itaonyeshwa LIVE kwenye big screen na penye washabiki. DAR popote nitakwenda ingawa prefarable city centre,Upanga,Oysterbay, mpaka njia ya Mwenge/Mbezi maana nitakuwa naelekea kwetu.Kulipa nitakuwa tayari.
Thx.
Duuuu na wewe kwako wapo/unafuga??Mm dini yangu hainiruhusu-nakushukuru kwa kuwa tayari kunichanganya na hao jamaa bahati mbaya siruhusiwi.Karibu nyumbani kwangu Tandika Maguruwe!.
Hao wadudu hutawaona~I will keep them far away from you, sana sana ntakutayarishia popcone na juice ya miwa, what about that buddy!.Duuuu na wewe kwako wapo/unafuga??Mm dini yangu hainiruhusu-nakushukuru kwa kuwa tayari kunichanganya na hao jamaa bahati mbaya siruhusiwi.
wana JF,
Natamani na mimi nikaache ka TV kangu (size yake nakajua) ila ningetaka sehemu ambapo WC itaonyeshwa LIVE kwenye big screen na penye washabiki. DAR popote nitakwenda ingawa prefarable city centre,Upanga,Oysterbay, mpaka njia ya Mwenge/Mbezi maana nitakuwa naelekea kwetu.Kulipa nitakuwa tayari.
Thx.
Hivi vingamuzi ndio vitu gani?~Decoder?. Kama ndio hivyo wanauza bei gani?.Nadhani TBC watafunga baadae pale Biafra Knondi au Mnazi mmoja subiri mambo yachanganye na vingamuzi vyao vidode kwanza!.Zanzibar wao wamefungiwa na Zantel zakutosha tu kuwapa watu burudani
Ndio decoder mwana..tembelea humu kwa sport thread kuna sehemu inamaelezo mengi yakuhusiana na hizo decoder..bei kuanzia 70,000-120,000/-Hivi vingamuzi ndio vitu gani?~Decoder?. Kama ndio hivyo wanauza bei gani?.
Shukrani sana Senator, si unajua sisi wavuvi shughuli zetu~kuja mjini mpaka kipindi cha mbalamwezi, kipindi cha giza uvuvi mtindo mmoja.Ndio decoder mwana..tembelea humu kwa sport thread kuna sehemu inamaelezo mengi yakuhusiana na hizo decoder..bei kuanzia 70,000-120,000/-
Nakushukuru mkuu Mfunyukuzi ila shida ya hapa-mabishoo wengi,ukishangilia goli wanakushangaaNenda pale level 8 Kilimanjaro Kempiski hotel
Mkuu Obuntu-hapa suala la usalama unanishaurije?Viwanja vya Tanganyika Packers - Kawe : Ni BUREEEEEEEEEEEEEEE
Duuuuu![COLOR=Red said:Yegomasika[/COLOR];948024]Shukrani sana Senator, si unajua sisi wavuvi shughuli zetu~kuja mjini mpaka kipindi cha mbalamwezi, kipindi cha giza uvuvi mtindo mmoja.
sasa mkuu tuwasiliane basi mimi naishi sukaDaaah, jamnii mi natafuta sehem ya kuangalia uelekeo wa kimara jamani!!