Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda chuo cha KKKT, kasomee maparachichiKuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
Mungu akusaidie kichwa chako kisiendelee kuwa na laana.Nenda chuo cha KKKT, kasomee maparachichi
Unakuja hapa kutudanganya ni mwanao kumbe ni ww, sasa na F yako ya hesabu si bora urudi Tukuyu kufuga nguruweMungu akusaidie kichwa chako kisiendelee kuwa na laana.
actually, nadhani alikuwa anadiscuss tu na wenzie akawa interested, ndio kaja kuniambia sasaivi hapa nikiwa nabadilishana naye mawazo. sio kwamba anaingia intake ya mwaka huu au whatever, after all kuna masomo mengine yupo enrolled, ila aliponipa hili wazo nikataka kupata details zaidi ya hivyo vyuo. ndio maana nikaweka hapa.kwani si walishamalizaga application? ye amechaguliwa wapi? au ndo dirisha litakapofunguliwa ndo ataomba
kuna kutamani na kuna kupata tunaweza mchagulia akaomba asipate
mimi ni mwanasheria ndugu yangu, nilishamalizaga kusoma huko miaka mingi sana. halafu sina akili ya kitoto kama ya kwako.Unakuja hapa kutudanganya ni mwanao kumbe ni ww, sasa na F yako ya hesabu si bora urudi Tukuyu kufuga nguruwe