Hiyo kwa mwaka nilimaanisha rate ya kipatoHuwezi kuwekeza kwenye Bot bonds kwa mwaka mmoja.
It is very possible kama after a.year akiamua kwenda kuuza hiyo bond katika secondary market. Japo huu utakuwa si uwekezaji mzuri.Huwezi kuwekeza kwenye Bot bonds kwa mwaka mmoja.
Haka nako ni ka elimu chief.Fedha kidogo ukiiweka karibu na kwenye Fedha nyingi inakuwa kwa haraka zaidi kuliko Fedha kidogo hiyohiyo ukaiweka kwenye Fedha kidogo nyingine.
True anaweza kununua bond ya miaka 2 na baada ya mwaka akauza kwenye secondary market!It is very possible kama after a.year akiamua kwenda kuuza hiyo bond katika secondary market. Japo huu utakuwa si uwekezaji mzuri.
Wekeza kwenye Bonds. Matajiri wengi ndo michezo yao hiiWadau naomba ushauri, nimedunduliza kama 50 Million Tsh, nataka niwekeze sehemu nipate vijisent kabla yakuingia kwenye biashara. Je wapi sasa ni pazuri kuwekeza na kwanini? eg Fixed rate..benk ipi?, BOT bond au UTT?. Na kama UTT, je ni mufuko upi wa UTT ni nzuri inakupa rate nzuri kwa mwaka
Kwanini usiwekeze kwenye customized product?Mkuu , unamaanisha kwa mwaka nitapata 5 million income??
Ndo maana tunatfuta humu taarifa za kutusaifia kujua hali halisiKwanini usiwekeze kwenye customized product?
Badala ya kuanza kukomaa na madude usiyo yajua.
Endelea kuota, wewe ukiibiwa pesa sasa hivi kupitia computerized system utaenda wapi kuzifatilia nakati hakuna hata ofisi yao hapo
Kwa uelewa wako upo sahihi mkuu
New version of Kiduku LiloNiliangaika humu na 100m kutaka ushauri niiwekeze wapi risk free
Nikaishia kuiweka Fixed deposit Ac 8% kwa mwaka
Hapo nakula 660k kila mwezi
Lakini naona kama nawafaidisha sana wao aisee
Secondary market inakuwaje mkuu?True anaweza kununua bond ya miaka 2 na baada ya mwaka akauza kwenye secondary market!
Hzo show ni za watu wababe a.k a risk taker , ukiwa mtoto wa mama huwez kunusa , na huko ndo watu wanamake huge cash but with high riskEndelea kuota, wewe ukiibiwa pesa sasa hivi kupitia computerized system utaenda wapi kuzifatilia nakati hakuna hata ofisi yao hapa TZ?
Ungeiweka utt liquid au bond ungepata rate ya over 11%.Niliangaika humu na 100m kutaka ushauri niiwekeze wapi risk free
Nikaishia kuiweka Fixed deposit Ac 8% kwa mwaka
Hapo nakula 660k kila mwezi
Lakini naona kama nawafaidisha sana wao aisee
Kiduku siku hizi anajiita Bill LuganoNew version of Kiduku Lilo
Ndio nani?New version of Kiduku Lilo
Mkuu , unamaanisha kwa mwaka nitapata 5 million income??