snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,433
- 1,176
habari wanaJF,
naomba kama kuna mtu anafahamu mahali certification hizi zinatolewa hapa Tz anijulishe.
1.Occupational Safety and Health Management(OHSAS18001:2007)
2.ISO9000/TS16949 (Quality Management System)
3.FSC certification
4.GIS certifications(Arc view/Arc GIS)
5.TLTV
tafadhali naomba mnijuze,hata kama kuna other ISO's na zingine za OHSAS naomba mnijulishe.kwa wale mnaofahamu.asanteni