Wapi Chasambi? Kocha Fadlu tuambie Chasambi amekukosea nini hadi humpi nafasi ya kucheza?

Wapi Chasambi? Kocha Fadlu tuambie Chasambi amekukosea nini hadi humpi nafasi ya kucheza?

kama mnamuona chasambi ni tegemeo,mechi bado kama 25 hivi na tarehe 19 NBC PL inaendelea yamkini mnaweza kumwanzisha ili kuwa mkombozi wa kweli. ALL THE BEST CHASAMBI.
 
Back
Top Bottom