Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Nenda Denso, duka lipo kwenye fremu za uwanja Sheikh Amri Abeid opposite na Corn electronicsMsaada Ni wapi nitapata duka la spea la uhakika Arusha
Nahitaji taa ya nyuma Harrier New modern vijana wanaita "tako la nyani " taa kipisi Cha kwenye bodi.
Anaejua na bei atakua amenisaidia Zaid.
Shukran mkuuNenda Denso, duka lipo kwenye fremu za uwanja Sheikh Amri Abeid opposite na Corn electronics
Au hapo hapo jirani kuna jamaa anaitwa Saka...Denso na Saka spwa zao ni genuine kwa hiyo uandae mbavu nene..
Ukikosa nenda maduka ya wachaga Wasangi street almàrufu kama kariakoo...huko Utakutana na Ceman na Mramba na wwngineo weeengi...ukikosa nenda December, kule wanachinja magari yaliyopata ajali ila kuna madalali na wana kera balaa....wanadalalia mpaka oil chafu
Nenda makao mapya kwa Senya na Sanawari kwa Sadaam MotorsMsaada Ni wapi nitapata duka la spea la uhakika Arusha
Nahitaji taa ya nyuma Harrier New modern vijana wanaita "tako la nyani " taa kipisi Cha kwenye bodi.
Anaejua na bei atakua amenisaidia Zaid.
Hata huyu Senya nasikia ana vitu vingi..sijawahi kufika kwenye ofisi zakeNenda makao mapya kwa Senya na Sanawari kwa Sadaam Motors
Chinja chinja ndio Kila kitu
Taa kwa Denso hii bei ya taa moja utanunulia taa zote kwa Senya (used)
Huyo senya yupo makao mapya kwa wapi mkuuNenda makao mapya kwa Senya na Sanawari kwa Sadaam Motors
Chinja chinja ndio Kila kitu
Taa kwa Denso hii bei ya taa moja utanunulia taa zote kwa Senya (used)