Wapi chuo cha teolojia cha walokole

Unaelewa maana ya kupiga kelele?
 
Kuna vyuo vikubwa vinne Dodoma TAG, Sanjaranda FPCT, Tazengwa FPCT na Mwanza PAG
Tazengwa kinatambuliwa na nacte?. Au Tcu.

Vyuo ambavyo vinaokota hata alieshia darasa la pili
 
waliosoma theologia na wasiosoma wote wanafanana, wanatulostisha binadamu kwa staili ya kutisha sana, kama ukiwafahamu vizuri.ukristo ni "hadithi tu"
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1401275058483436
 

St Paul alikuwa msomi na alifundishwa na Rabi Gamaniel, Pia alikuwa ni farisayo, alisema "kwa haki ipatikanayo kwa Sheria he was blameless" , kwahiyo hata kuuwawa kwa Mt Stefano Mbele yake ilikuwa ni sahihi kisheria kwasababu torati ndivyo ilitaka vile, lakini Ile encounter ya Damascus ilimfanya, Mt Paulo kuwa simple kwake Roho Mtakatifu kumfundisha kuigeuza haki ipatikanayo kwa matendo ya Sheria kwenda kwenye haki ipatikanayo kwa Neema. Hivyo, Roho mtakatifu alimfundisha based on what he learned from his pharisaic sect na si kuanza upya. Ukimchukua Rabi yeyote wa sasa wa kiyahudi halafu akakutana na Yesu, huyo mtu kwenye exegesis atakuwa hatari na nusu. Ni uwongo na uzushi kusema Roho wa Mungu atakufundisha from empty slate, utabaki na umbumbumbu wako hivyohivyo unaofichwa na makelele lakini kwenye ku deliver unakuwa mtupu.Na mara nyingi haya makanisa madogo, ukiwacheki pastors huwa Wana struggle sana kwenye kufundisha Neno la Mungu kwasababu ya mind set hiyo hiyo (nafundishwa na Roho Mtakatifu) Roho Mtakatifu hawezi kuku - remind kitu ambacho huna. Kusoma ni lazima jamani tusimsingiziye Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…