Wapi Clara Luvanga

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Mwenye update za Clara Luvanga atujuze, huyu dada aliwezesha Serengeti Girls kufuzu India World Cup under 17.

Sasa hivi simsikii wala kumwona katika klabu yake ya Yanga Princess, wala sikumwona India na Serengeti Girls.

Tujuzwe, yuko wapi?
 
Sidhani kama atacheza boli tena kwa habari nilizosoma mahali
 
Mwenye update za Clara Luvanga atujuze, huyu dada aliwezesha Serengeti Girls kufuzu India World Cup under 17.

Sasa hivi simsikii wala kumwona katika klabu yake ya Yanga Princess, wala sikumwona India na Serengeti Girls.

Tujuzwe, yuko wapi?
Anakula ndimu sasa hivi
 
Al nasr yupo
 
Mimba haina Adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…