MotoYaMbongo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,146 Reaction score 886 Aug 21, 2008 #1 Jamani wana JF, naomba mnisaidie kufahamu je hii kampuni ya ndege ya community air iliishia wapi? Mbona imepotea? Tena baada ya skendo ya richmond kuibuka? Je kuna uhusiano gani. Naomba aliye na tetesi anisaidie.
Jamani wana JF, naomba mnisaidie kufahamu je hii kampuni ya ndege ya community air iliishia wapi? Mbona imepotea? Tena baada ya skendo ya richmond kuibuka? Je kuna uhusiano gani. Naomba aliye na tetesi anisaidie.