rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Umeniwahi manina nlitaka kumwambia vivohivyoUnataka kulima lami?
Ndio natafuta nikiwapa kazi vibarua wanazinguaTuangoma ni karibu na Kongowe, Vikindu, na Kisemvule. Haya maeneo haswa Kongowe (Njia panda ya Tuangoma-Mkuranga) huwezi kukosa hata connection ya namna ya kupata.
Unataka kulima lami?
Umeniwahi manina nlitaka kumwambia vivohivyo