Wapi darasa la masomo ya psptb (p iv & p v) kwa arusha

Wapi darasa la masomo ya psptb (p iv & p v) kwa arusha

salosalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
598
Reaction score
280
Jamani natafuta mahali wanapofundisha masomo ya professional stage IV & V ya PSPTB kwa mjini Arusha, anayejua anijulisha tafadhali ikiwezekana na gharama zake kwa kila stage
 
Jioni wanafundishiaga pale Arusha School, chini ya TFA. Na ofisi zao ziko pale Jengo la Ushirika.
 
Jioni wanafundishiaga pale Arusha School, chini ya TFA. Na ofisi zao ziko pale Jengo la Ushirika.
mkubwa nashukuru kwa taarifa yako ila pale nimeenda wameniambia wanafundisha mpaka Professional stage III tu, yaani kwamba hawafundishi Stage IV na V sababu wanafunzi wachache, eti labda nitafute wenzangu 14 ili tuwe 15. sas mimi ntawatoa wapi?

Ndo maana nauliza kama kuna mahala pengine popote
 
Back
Top Bottom