Jamani natafuta mahali wanapofundisha masomo ya professional stage IV & V ya PSPTB kwa mjini Arusha, anayejua anijulisha tafadhali ikiwezekana na gharama zake kwa kila stage
mkubwa nashukuru kwa taarifa yako ila pale nimeenda wameniambia wanafundisha mpaka Professional stage III tu, yaani kwamba hawafundishi Stage IV na V sababu wanafunzi wachache, eti labda nitafute wenzangu 14 ili tuwe 15. sas mimi ntawatoa wapi?