Wapi Deo nalimi kisandu?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Tangu huyu jamaa atiwe ndani ....sijamsikia tena VP ashaachiwa?
Au amekosa smartphone....
Au kakosa Bando?


Come back mfalme
 
Walichomfanyia hukijui ndio maana haposti ujinga wake tena
 
Usiombe ukaingia mikononi mwao wale jamaa kwa nyakati hizi
 
Maskini....hata ya kugongea kakosa....
Mshahara sijui kama anaendelea kupata.... Sijui kama atarudi tena mahali hapa.
Na akirudi atasema alikuwa kwenye maandalizi ya kugombea ubunge.....

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] itakuwa wamemnyanganya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…