H HAPPY 4RIL New Member Joined Jul 10, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Jul 16, 2014 #1 kwa wale wanaofanya mitihani ya PSPTB(procurement) mwezi wa 11/2014 disc au evining classes zinakua wapi?na kwa wale ambao wameshafanya,huwa amount inayolipwa ni pamoja na classes au ni mitihani tu?naombeni msaada ndugu zangu.
kwa wale wanaofanya mitihani ya PSPTB(procurement) mwezi wa 11/2014 disc au evining classes zinakua wapi?na kwa wale ambao wameshafanya,huwa amount inayolipwa ni pamoja na classes au ni mitihani tu?naombeni msaada ndugu zangu.