Wapi Doctor mzuri wa masikio

Wapi Doctor mzuri wa masikio

Suzzie

Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
98
Reaction score
12
Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata
 
Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata

Nenda kwa doctor Ole pale Magomeni karibu na kwa sheikh Yahya Hussein, hospitali yake inaitwa EKENYWA. Ni specialist wa ENT.
 
  • Thanks
Reactions: Kop
Back
Top Bottom