Suzzie Member Joined Feb 25, 2009 Posts 98 Reaction score 12 Mar 27, 2013 #1 Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata
Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata
A ATA Member Joined Oct 12, 2011 Posts 84 Reaction score 22 Mar 27, 2013 #2 Suzzie said: Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata Click to expand... Nenda kwa doctor Ole pale Magomeni karibu na kwa sheikh Yahya Hussein, hospitali yake inaitwa EKENYWA. Ni specialist wa ENT.
Suzzie said: Naumwa sana sikio, kuna kitu kimevimba mpaka kuziba tundu la sikio, nisaidieni wapi doctor mzuri wa masikio nitampata Click to expand... Nenda kwa doctor Ole pale Magomeni karibu na kwa sheikh Yahya Hussein, hospitali yake inaitwa EKENYWA. Ni specialist wa ENT.