wanajamvi naomba mnijuze dr mzuri wa circumcision jijini dar kamanda wangu amefkkia umri wa tohara. nimesikia habari ya plastic circumcision ambayo haikuwepo enzi zetu what's it?
Sijui unaishi wapi, lakini sisi tunaokaa maeneo ya Kariakooo na city Centre ngariba wa watoto wetu ni Dr Juma, yupo mtaa wa Swahili/Rufiji, anauzoefu tosha wa fani hiyo.