Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
simu ya kifo siyo ya faraji katalambula?
Aliitwa Eddie Ganzel ama Edil? well,,alikuwa mkali kwa utunzi
NI kweli Ganzel ni marehemu.
msako wa hayawani, kimetulia
Kweli watu wa aina yake wameadimika sana,RIP Eddie Ganzel.
Watu wa aina yake ni adimu sana siku hizi.
Unakumbuka hadithi zake zaidi ya Kijasho chembamba?????
Kweli watu wa aina yake wameadimika sana,
Nani wa kuziba pengo la MUSIBA na Willy Gamba wake??
Shigongo kafulia cku hz! Anatengeneza stories zenye diferent heading bt same content! Nshaachaga kusoma mistory yake! Eddie Ganzel alikuwa anaandika pia story za katuni ktk jarida la BONGO enzi hzo! Kwa Mungu mbali, msako wa hayawani, mzimu wa mzee ole, n.k!
Labda Issa Hussein Tuwa kidogo alikuja vizuri na riwaya zake kama
Mkimbizi,
Mdunguaji,
Bondia na
Utata wa 9/12 ambayo ilikua ni hadithi ya aina yake