N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,862 Reaction score 5,693 Jun 19, 2022 #1 hawa yanga hapa walitupiga na kitu kizito kichwani kuwahi kutokea!! Huku mtaani kila kipa asiyeeleweka alipewa jina la Kindoki, mtaani kwangu kulikuwa na akina Kindoki kama wanne hv. Anacheza timu gani sasa huyu mwamba?!!!!
hawa yanga hapa walitupiga na kitu kizito kichwani kuwahi kutokea!! Huku mtaani kila kipa asiyeeleweka alipewa jina la Kindoki, mtaani kwangu kulikuwa na akina Kindoki kama wanne hv. Anacheza timu gani sasa huyu mwamba?!!!!