TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Nenda posta mtaa wa lindi kuna maduka ya motor na mashine pia huko huko unapata na motor ungesema unataka ya h.p ngapi
Maksimamo ni 25 hadi 30 hyo 40 ni kubwa sana kwa matumizi ya kazi yako na nzuri iwe ya italy hata kampuni yoyoye ila iwe made in italy hataa ya germany zipo ila sio mpya ni used na kama ukipata ya hp 30 ina bei kuliko mpya ya italy.Aina nzuri/brand? HP kuanzia 25 - 40.
Ahsante sana. Kuna mtu kipindi cha nyuma aliwahi kunitajia motor za UK, zipo hizo na zikoje au magumashi?Maksimamo ni 25 hadi 30 hyo 40 ni kubwa sana kwa matumizi ya kazi yako na nzuri iwe ya italy hata kampuni yoyoye ila iwe made in italy hataa ya germany zipo ila sio mpya ni used na kama ukipata ya hp 30 ina bei kuliko mpya ya italy.
Ila uwe makini hizo za germany ukikuta mpya nenda na fundi nyingi huwa za kusuka na nembo za kuchonga.