wapi hapa?

arusha hapo . jengo la mac moods
 
picha nzuri sana, naona na bendera ya Tanganyika inapepea
 
kwa kinyenyeu hapo.yule aliokuwa hataki kuchimbuliwa akazikwa kwengine....
 

Hapo ni Arusha bwana, kwa Remtullah, juu hapo kulia sasa ndio kuna Pallsons ya Askof, ukienda mbele kuna benki ya CRDB kushoto ni Friend Corner, pia hili jengo linatizamana na Jengo la Justin Nyari!
 
kumbe machalii wa arachuga mpo nyomi.......pamoko sana......
 
Vingunguti Kiembe mbuzi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…