Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
bongo hapo
hahah upo majuu nini njoo Arusha huku tutembelee watalii kibao
kumbe machalii wa arachuga mpo nyomi.......pamoko sana......
Hapa barabarani kama sikosei
Naomba nikupe mji uniambie kuwa hapo ni wapi....maana nimeipenda hiyo mandhari yake.
Ukiniambia ni wapi, nataka nikatembelee maana naona kuna hewa safi..... Nenda Abu Dhadi
Aisee picha ya long, umeitoa wapi chali yangu?