Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Yaani watu kwa kufuatilia vichomi sijui itaisha lini.Ila pongezi zake nasikia mjamzito sasa hivi au nisije nikawa namfananisha si yule wa tusker
dah!huyu jamaa me namkubali sana,japo wabongo wengi wamekua haters kwake.
Hawamchukii wanatamani kuwa kama yeye!Jamani wa2 wanachukia vibaya... ivi inakuwaje unamchukia mtu kias icho ambae akupunguzii kitu wala kukuongezea kitu...