Wapi Hospitali nzuri Kukatwa "Govi" Kijana wa Miaka 30?

YOTE UBATILI

Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
13
Reaction score
0
Jamani waungwana!

Hebu nishaurini wapi ntapata huduma nzuri ya kuondolewa hii kitu,kwa kuzingatia umri wangu. Nakaribisha na ushauri mwingineo.

Shukrani.
 
Nenda hospitali za serikali na usiogope coz watakupiga ganzi so hutosikia maumivu wakati mkono wa sweta unaondolewa
 
Jamani waungwana,
Hebu nishaurini wapi ntapata huduma nzuri ya kuondolewa hii kitu,kwa kuzingatia umri wangu. Nakaribisha na ushauri mwingineo,
SHukrani.
Ngoja nijaribu ku-hack kwanza ili niweze kukutambua kwa kutumia njia mbalimbali ndo ntakuja kutoa ushauri.But hospital ndo ssehem salama
 
Kama halijakutesa kwa miaka 30 unataka kulitoa la nini mkuu?

nenda kituo cha afya kilicho karibu nawe ukahudumiwe.
 
Hospital yoyote ili jirani nawe ni kitu kidogo
sana hicho zaidi uhiari mwenyewe kutoa
maana kwasasa kuna Wilaya kama Nzega
kuna kampeni ya dondosha Mkono wa Sweta.
 
Kama unamfahamu daktari mzuri ongea naye
atakuja kukufanyia hapo hapo home ili mradi uwe
muwe mmekubaliana bei.
 
..Johns Hopkins Hospital (USA)....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…