Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Wakuu, msaada wa kisheria. Ni wapi naweza kumtuma shemeji yangu kwenda kwa notary public kuweza kupata 'affidavit of marriage" kuonesha kuwa yeye na mkewe (wao ni wa jadi) wamekuwa na ndoa ya muda mrefu (common law) ili niweze kumtafutia visa ya kuja kututembelea? Naomba msaada.