Wapi Inapatikana "Affidavit of Marriage"?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Wakuu, msaada wa kisheria. Ni wapi naweza kumtuma shemeji yangu kwenda kwa notary public kuweza kupata 'affidavit of marriage" kuonesha kuwa yeye na mkewe (wao ni wa jadi) wamekuwa na ndoa ya muda mrefu (common law) ili niweze kumtafutia visa ya kuja kututembelea? Naomba msaada.
 
Tayari umesha andika jawabu, aende kwa wakili yeyote atasaidiwa.
 
mkuu naona location yako uko kijijini...huko kijijini kwenu hadi visa!!
 
njoo kwenye inbox yangu mkuu huduma umepata hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…