cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
Wapendwa amani ya Mungu iwe juu yenu.
Naomba kwa mwenye kufahamu anijulishe ni wapi inapouzwa milango mizuri imara na ya design za kisasa kwa Dar es salaam.
Namaanisha milango ya mbao ya ndani.
Vile vile kwa anayefahamu zinapopatika Tiles original nitamshukuru akinijulisha.Hata wachina wanasemaga zile za kwao ni original lkn pamoja na kuwa na marembo mazuri huwa zinachubuka baada ya mwezi mmoja hivyo nikisema 'original tiles' namaanisha original kweli hivyo anayefahamu duka la tiles original lilipo anielekeze lkn lisiwe kariakoo sbb siamini kama kariakoo kuna vitu original.
Natanguliza shukrani zangu.
kwa upande wa tiles nadhani nenda CTM Nyerere road kule utapata za uhakika kabisa.pia wana duka Mwenge pale karibu na kituo cha ITV,lakini ni vizuri zaidi ukaenda kule CTM ya Nyerere road maana kule ndo kwenye duka lao kubwa zaidi!
Kwa upande tiles nenda Victoria pale utapata za Spain, Brazil, U.S.A, Italy.
Ukitaka za mchina pale Gerezani k.koo za kumwaga lakini GOOD ONE wengi wanazisifia zinadumu
Upande wa Milango nenda pale TAZARA opp. na RTD mbele kuna duka la furniture kwa nyuma kule ndo milango na madirisha.
asante Fidel,baraka zikumiminikie
Amina,nawe pia ubarikiwe sana!asante,ubarikiwe
milango nunua hard wood,mninga au mkongo!hapa mbezi tangi bovu kuna mafund wanachonga vizur sana,ila sijui bei zao,nawaonaga wame dispaly.