Wapi inapatikana Sukari - ARTIFICIAL SWEETNER

Wapi inapatikana Sukari - ARTIFICIAL SWEETNER

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
Wadau nimeulizwa na mdau mmoja nisaidie kutafuta sukari inaitwa artificial sweetner hapa dar es salaam. Mwenye kujua tafadhali anifahamishe.
 
Nenda kwenye maduka ya kuuza dawa yaani pharmacy utapata na hata maduka ya vyakula Kariakoo na Namanga utapata.
 
Back
Top Bottom