Big ups JD, kuna wakati pia alikuwa anakwenda kupiga pale triple A Arusha, he was trying to promote the club
Huyu dj namkubali sana na miss sana pia, ila kuna bibi kizee mmoja wa benki kuu hapo teni milambo amemuweka ndani naona alimuwekea limitation kwenye mambo ya muziki, jamaa kwa njaa zake akaachana na muziki akaamua kufugwa na bibi kizee.
Stori ninayokumbuka ni ya yule dada aliempa jamaa figo then mshkaji akamtosa baadae!
Duh especially pale anaposema..Joe thomas alikuwa juu sana hasa ikipigwa good girl wakati huo tupo hukooo!

Duh especially pale anaposema..

"Why all the good girls taken every time?

And why do I keep falling for someone's dime?

Everytime I said 'Helo" they said "Goodbye"

So why are All good girls taken every time,taken everytime?

Usisahau na Love scene..way back then.Thank Mkuu umenikumbusha enzi za kutongozea kwa lyrics.
Acha Majungu wewe huna unachojua unaropoka tu hapa. Jamaa alimuoa mtoto wa Katibu mkuu Kiongozi mstaafu. Sikumbuki jina la katibu mkuu huyo ila ni kabla ya LUHANJO
Wewe sasa unanipa wasiwasi, si wewe ndio umeuliza sasa mbona una taarifa hadi za ndoa yake, hii inaoneshwa wewe unajua zaidi au pengine wewe ndio JD mwenyewe umekuja kupima umaarufu wako uliopotea.
Bahati mbaya sana kwenye posts, sioni uke kwa hiyo siwezi ku judge usichana kwa kutumia posts za mtu.kama unafuatilia posts zake she is a girl,

Duh especially pale anaposema..

"Why all the good girls taken every time?

And why do I keep falling for someone's dime?

Everytime I said 'Helo" they said "Goodbye"

So why are All good girls taken every time,taken everytime?

Usisahau na Love scene..way back then.Thank Mkuu umenikumbusha enzi za kutongozea kwa lyrics.

Mkuu hujadesa mahali hiyo mistari? Wewe mkali! Mimi imeanza kunitoka,au umedesa kwenye daftari lako la enzi zileee Magamba Sec,Malangali sec,Mazengo sec,Mkwawa sec,Ilboru sec,Karatu sec,old moshi sec,ubwe sec,Arusha sec,Tambaza sec,Azania sec,Jangwani sec e.t.c duh umefanya nimkumbuke washkaji wa azania na kufukuzia Menu pale Dar Tech hadi kuna mmoja aliitwa FOOD FIGHTER hadi leo!
Bahati mbaya sana kwenye posts, sioni uke kwa hiyo siwezi ku judge usichana kwa kutumia posts za mtu.
ina maana wasichana wote usipowaona UKE hujui kama ni wasichana

Sasa nitajuaje kama sijaona uke wao, siku hizi ninyi mashoga pia mnavaa kama wanawake, mnachoma sindano za kukuza matiti na masaburi, mnavaa wigi na sauti zenu ni nyororo tu. Nasisitiza hadi nione uke ndio nakuwa na uhakika vinginevyo eti kwa kwa kuweka avatar ya kike SIDANGANYIKI.