mmenikumbusha mbaliiiiiiiiiiiii! mbarikiwe woteeeeeee! dj jd: hellow who's calling?? aah this is candy!! oohh candy, where r u calling from? am calling from sinza!! do u enjot the show?? u bet''', lolest!! nilikuwa ndio ka-bintiiiiii lakini nakumbuka mnooooo kaka zangu wakipigwa na dad every day kwa ku-sneack out to billicanas! lol

umesahau kuweka ile jingle yake:-
Oooohoouuuuuuuuuu Jdiiiiiii thats ma songggggg!
(kasauti fulani kazuriiiiii ile mbaya)
"Man at work baby! doing what I gonna do! Yeah! " Hapo zinapigwa ngoma balaa!
Jamani hivi nani anajua alipo huyu DJ maarufu John Dilinga? Alikuwa DJ mzuri sana na mtangazaji wa Radio one early 2000
Alishikishwa adabu na Mully B wa Clouds FM kwenye mashindano ya ma DJ.
Tangu hapo hajihusishi tena na maswala ya muziki, kabaki kujichubua tu.

sifa nyingine bwana...aaah
Alishikishwa adabu na Mully B wa Clouds FM kwenye mashindano ya ma DJ.
Tangu hapo hajihusishi tena na maswala ya muziki, kabaki kujichubua tu.
......"deeeejayyyyyy Jaayyy Deeee"........ alikua anachakachua RnB collections za nje na kuingiza hiyo kolombwezo..

Mambo yangekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa DJ mkali,unafikiri akina abubakari Sadik hawataki kusifika kama DJ JD! Kwanini nao hawachakachui zile za Funk Masterflex kwa kuingiza vikolobwezo vyao kwenye hizo collection ili tuwaone wakali?
Kibongo bongo itachukua muda mrefu kupata DJ atakaefanya kazi ktk level ya DJ JD!
Alishikishwa adabu na Mully B wa Clouds FM kwenye mashindano ya ma DJ.
Tangu hapo hajihusishi tena na maswala ya muziki, kabaki kujichubua tu.
Exactly, watanzania wako wagumu sana kukubali pale ambapo hakuna ubishi
jamaa yuko vizuri ktk kazi zake.
Nilichogundua wengi wa hawa haters ni watoto wa juzi juzi tu, walikuwa bado na pampers kipindi hiki tunachokiongelea
BIG UP SANA!!