Wabongo fungukeni akili, acheni utoto, acheni kukopi. Nani kasema history haina application? Nyinyi wenye mawazo madogo pamoja na serikali yenu inayo copy sera toka marekani bila kuwa na historia ya malekani. Nataka ni wambie historia ni muhimu. kwanza kama hamjui inahusu mambo yalio pita, yaliopo na yanayokuja, Ina husu mambo gani? inahusu hayo mambo uliyosomea wewe, ambaye unafikiri accounting ndio muhimu sana. Serikali, makampuni, NGOs zinatakiwa ziwatumie wanahistory. Ushauri kwako wewe jamaa uliyetoa hii maada (Ingawa umejifanya sio kumbe ni wewe) Naungana na jamaa hapo juu kwamba tafuta Research Organization ukaapply ujuzi wako.