bacherol of arts in social science majoring in history from udsm (cass), s/he can be a histor teacher, a researcher, comunity oficer, dvlpment oficer, a philosopher...he can work at bank as lead generator(direct sale), cn be emplyd at ministry ov information under culture dpatment, wizara ya maliasili e.t.c as far s/he is a degree holder s/he can be useful and work in many NGO..BUT nasikitika ajira hazipatikani..mpe pole na namkaribisha ktk jumuiya ya wasiokuwa na ajira.
Agombee ubunge au udiwani. njoo nikufundishe jinsi ya kuanzisha NGO ya kusaidia watoto wa mitaani au wazee.
mkuu hii ya kuwa mwalimu umechemka.
Kujua kwake History hakumfanyi kuwa mwalimu. Kama vp gvt ingempa ajira hiyo maana mpaka sasa bado kuna shule hazina walimu.
Mkuu ualimu ni taaluma na sio kujua history, usimuone tu mwalimu darasani ujue kabeba vitu vingi kichwani mf. Curriculum, psychology, measument and evaluation, nk nk.
Sasa huyu kwa Ba yake ya history anajua jinsi ya kutunga mtihani? anajua vality of a test? Anaweza kutafuta test reliability? Anazijua bloom's taxonomy?
Haaaah haah hawezi kuwa mwalimu mkuu usimdanganye.
any one can teach so longer as amefundishwa kwa three yearz and major at it, atashndwaje kufundisha history ya form 4? Serikal haimuajir cz hakujaza form kama walimu wanavojazaga wakimaliza au kabla ya kumaliza chuo, i av degree in b.a language bt i cn teach englsh, sw, french at am nt a teacher, infact udsm kulikuwa na form unajaza kama unataka fundisha kwa wasiowalim na unapangiwa, pia kusema serikal ina uhaba wa walimu ivo wangemchukua, wangap wamesomea uwalim wapo mtaan, gvnt haina pesa za kulipa walim mishahara.