Salaam wakuu,
hivi hapa dar kuna kituo cha kuwatibu waathirika wa madawa ya kulevya?
Kwa maana ya kambi
maana nina shemeji yangu hashikiki kwa hayo madawa licha ya kwamba anatibiwa muhimbili na pale amana hosp. Mambo naona si mazuri
mkuu pole sana, kuna mahali pamefunguliwa hebu pitia hapa kwenye hii link naona wameweka na contact zao unaweza kuwapigia ukajua zaidi baada ya kuisoma wanachokifanya kuwahudumia:
Redirect Notice
kabla ya kuifungua natanguliza shukrani