Wapi kuna chimbo la nguo za jumla jumla?

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
356
Reaction score
666
Nataka kujua ni chimbo lipi naweza kupata nguo za dukani Kwa bei ya jumla jumla Kariakoo?
 
Mimi pia nataka chimbo la kununua shati za shule zile tomato kwa bei ya jumla soksi pamoja na kalamu
 
Huwa wanasema wafanyabiashara wa kariakoo ni heri wakupe hela,lakini sio kukutajia machimbo ya bidhaa.
 
Ninachokiona ni kuwa hayo machimbo itayapata wakati tayari uko ndani ya field.. Lazima upigwe kidogo mwanzon hadi kupata connection ya mahali pa kuchukua mzigo kwa bei rahisi
 
Mimi pia nataka chimbo la kununua shati za shule zile tomato kwa bei ya jumla soksi pamoja na kalamu
Daahh hv haya mashart kumbe bado yapo.... nakumbuka shule mtu ulikuwa unaonekana tozi sana ukivaa haya mashati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…