Wapi kuna live band ya zilipendwa Dar?

Cyn

Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
76
Reaction score
141
Jamani wapi naweza kwenda penye band zinazopiga miziki ya zilipendwa hapa dar? Zamani sana nilikuwaga naenda Mawenzi garden tabata kulikuwa na band ya BANA MARQUIZ na sijui hata wao kwa sasa wanapiga wapi maana nilikuwa nawapenda sana.

Nakaa kinondoni anyway so kama kuna band maeneo ambayo si mbali sana na Kinondoni itakuwa vema zaidi.
 
Mtafute Boboo Sukari Facebook anapiga utaona tangazo.
 
Huko huko Tabata ndio mambo yote iko huko kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…