Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anauzaje?auze lita sh 3000 tumtafutie soko
Asante ndg, maelezo yangu yamejitosheleza, kuwa ndg huyu hajui mahali soko lilipo sasa wewe sema wapi so lipo na wanunuzi wa jumla lt1 wananua kwa sh.ngapi?
Mimi nahitaji lita 2 za kutumia binafsi maana juzi nimepewa asali ina pilipili ndani
Wewe unavunaje au unajishughulishaje na Asali wakati hata bei hujui kiasi gani katika soko la kawaida?
Mnatungaushe vijana wengine.Lakini inaonekana huyo jamaa sio serious na inawezekanani dalali tu.
Maana wakulima wa Asali wote wanajua bei ya awali na mabadiliko ya soko.Kisha ndio wanatafuta kwenye bei nzuri.Sasa inavyoonekena huyu hajua hata bei ipo,kwani ndio mara ya mwanzo kwenye hii biashara asali?
Wadau kuna mwenzetu ana asali mbichi lt 240 anataka soko na hajui auze wapi na lt 1 auze kiasi gani?
hahahaha
Dumu la liter ishirini unauza shs ngapi?Jamani nina asali kutoka singida ya nyuki wakubwa na wadogo natafuta soko.
Je asali ni mbichi? bei ipoje?Jamani nina asali kutoka singida ya nyuki wakubwa na wadogo natafuta soko.
Asali ni mbichi ya nyuki wadogo lita 20000 ya nyuki wakubwa lita 10000Je asali ni mbichi? bei ipoje?
Dumu la lita 20 nyuki wakubwa 200000Dumu la liter ishirini unauza shs ngapi?
nlifikiri unauza jumlaDumu la lita 20 nyuki wakubwa 200000
Yed hii ni bei ya jumlanlifikiri unauza jumla